Mchezaji wa Aston Villa, Jordan Veretout (kushoto) akipambana na mchezaji wa Leicester City, Marc Albrighton (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Villa Park. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, bao la Villa likifungwa na Rudy Gestede likiwa la kusawazisha dakika ya 75, baada ya Shinji Okazaki kutangulia kuifungia Leicester dakika ya 28, katika mchezo ambao Riyad Mahrez aliwakosesha bao la ushindi The Foxes baada ya mkwaju wake wa penalti kuokolewa na kipa Mark Bunn kipindi cha kwanza, kufuatia Aly Cissokho kuunawa mpira kwenye eneo la hatari baada ya shuti la Mualgeria huyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why Mo Salah and Liverpool broke up: LEWIS STEELE reveals the key turning
points and fallouts that ended Egyptian King's reign, his most likely next
move and the players in the frame to replace him
-
LEWIS STEELE: No sooner had the ink dried on Mohamed Salah's farewell
statement did the debate turn to who Liverpool will sign to replace him.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment