• HABARI MPYA

    Saturday, January 16, 2016

    GABON NA MOROCCO HAKUNA MBABE CHAN 2016, ZATOKA SARE 0-0 KIGALI

    Kiungo wa Gabon, Rodrigue Moundougua (kulia) akijaribu kumpita beki wa Morocco, Abdessalam Benjelloun katika mchezo wa Kundi A Michuano ya Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN) Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda usiku wa leo. Timu hizo zimetoka 0-0.
    Rwanda iliyoshinda mchezo wa kwanza jioni 1-0 dhidi ya Ivory Coast sasa inaongoza Kundi A. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GABON NA MOROCCO HAKUNA MBABE CHAN 2016, ZATOKA SARE 0-0 KIGALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top