• HABARI MPYA

    Sunday, January 17, 2016

    DAVID HAYE AMTWANGA MUAUSTRALIA KWA KO RAUNDI YA KWANZA TU

    Bondia Muingereza, David Haye akimuadhibu mpinzani wakemade Muaustralia, Mark de Mori katika pambano la uzito wa juu lisilo la ubingwa jana usiku wa jana ukumbi wa O2 Arena mjini London. Haye alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DAVID HAYE AMTWANGA MUAUSTRALIA KWA KO RAUNDI YA KWANZA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top