• HABARI MPYA

  Sunday, January 17, 2016

  RONALDO NA BENZEMA KILA MMOJA AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 5-1

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Sporting Gijon kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema mawili na Gareth Bale moja, wakati la Gijon limefungwa na Isma Lopez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO NA BENZEMA KILA MMOJA AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 5-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top