• HABARI MPYA

    Monday, January 04, 2016

    AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN

    Winga wa Mtibwa Sugar, Shija Kichuya akimtoka beki wa Azam FC, David Mwantika katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Timu hizo zilitoka 1-1
    Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Muzamil Yassin akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Azam FC jana
    Kiungo wa Mtibwa Sugar, Shaaban Nditi akitoa pasi kwa mchezaji mwenzake 
    Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi'akipasua katikati ya mabeki wa Mtibwa Sugar
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top