• HABARI MPYA

    Monday, September 09, 2019

    HISPANIA YAICHAPA FAROE ISLANDS 4-0 MECHI YA KUFUZU EURO 2020

    Mshambuliaji Rodrigo akishangilia baada ya kuifungia Hispania mabao mawili dakika ya 13 na 50 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Faroe Islands kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon. Mabao mengine yalifungwa na Paco Alcacer mawili pia dakika ya 89 na 90 na ushei 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HISPANIA YAICHAPA FAROE ISLANDS 4-0 MECHI YA KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top