Mshambuliaji kinda wa Manchester United, Marcus Rashford akishangilia baada ya kufunga bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power. Kwa ushindi huo, United inaendeleza rekodi nzuri chini ya kocha mpya wa muda, Ole Gunnar Solkjaer ikifikisha pointi 48 baada ya kucheza mechi na kupanda hadi nafasi ya tano ikiiteremsha Arsenal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch final face-off before Paul v Joshua in Miami
-
Watch Anthony Joshua and Jake Paul face-off at Thursday's weigh-in before
their controversial heavyweight bout in Miami.
32 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment