Mshambuliaji Mkorea, Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la kwanza dakika ya 47 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Jan Vertonghen dakika ya 83 na Fernando Llorente dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Saved by 'special talent' - but did penalty award wrong Brighton?
-
Charalampos Kostoulas earned Brighton a point with a stunning overhead kick
but were the Seagulls right to be angry over an earlier penalty award?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment