Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester United dakika ya 45 akimalizia pasi ya Marcus Rashford kufuatia kumsetia Ander Herrera kufunga bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Hatua ya 16 Bora Kombe la FA England na kwa matokeo hayo Mashetani Wekundu wanatinga Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment