Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga kwa penalti dakika ya 43 kufuatia Gerard Pique kuchezewa rafu katika ushindi wa 1-0 wa Barcelona dhidi ya Real Valladolid kwenye mchezo wa La Liga jana usiku wa jana Uwanja wa Camo Nou. Messi alikosa penalti nyingine zikiwa zimesalia dakika sita na sasa Barcelona inaizidi kwa pointi saba Atletico Madrid kileleni mwa La Liga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Knicks vs. 76ers Game 4 live score, updates, highlights from 2026 NBA
playoffs
-
New York looking for a Sunday sweep in Philly.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment