• HABARI MPYA

  Wednesday, February 20, 2019

  MILLER AMSUKUMA JOSHUA KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI

  Bondia Jarrell Miller (kulia) akimsukuma Anthony Joshua mwanzoni mwa mkutano na Waandishi wa Habari jana mjini New York, Marekani kuelekea pambano lao la ubingwa wa dunia uzito wa juu Juni 1, mwaka huu ukumbi wa Madison Square Garden 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MILLER AMSUKUMA JOSHUA KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top