• HABARI MPYA

  Wednesday, February 20, 2019

  BARCELONA YABANWA UFARANSA, YATOKA SARE YA 0-0 NA LYON

  Kipa Mreno wa Lyon, Anthony Lopes akizuia shuti la mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana, 0-0 usiku wa jana Uwanja wa Groupama mjini Decines-Charpieu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YABANWA UFARANSA, YATOKA SARE YA 0-0 NA LYON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top