• HABARI MPYA

    Friday, February 15, 2019

    ARSENAL YAPIGWA 1-0 NA BATE UGENINI EUROPA LEAGUE

    Kipa wa Arsenal, Petr Cech akiuchungulia mpira uliopigwa kwa kichwa na Stanislav Dragun ukitinga nyavuni kuipatia beo pekee BATE Borisov katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Europa League lwo Uwanja wa Borisov Arena Barysaw 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAPIGWA 1-0 NA BATE UGENINI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top