Pedro akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 57 kabla ya Kieran Trippier kujifunga dakika ya 84 kuwapa ushindi wa 2-0 The Blues dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London na kwa ushindi huo kikosi cha Maurizio Sarri kinafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 27 kikiendelea kushika nafasi ya sita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment