• HABARI MPYA

  Saturday, July 15, 2017

  SALAH ALIPOFUNGUA AKAUNTI YAKE YA MABAO LIVERPOOL

  Mohamed Salah akiifungia timu yake mpya, Liverpool bao la kusawazisha dakika ya 45 katika sare ya 1-1 na timu ya Daraja la kwanza, Wigan Athletic jana Uwanja wa DW mjini Wigan akicheza mechi yake ya kwanza kabisa baada ya kusajiliwa kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 37 kutoka AS Roma ya Italia. Alex Gilbey alianza kuifungia Wigan dakika ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH ALIPOFUNGUA AKAUNTI YAKE YA MABAO LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top