Mohamed Salah akisujudu kumshukuru Mungu baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 61 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Hertha Berlin leo Uwanja wa Olympia Berlin mjini Berlin, Ujerumani. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Dominic Solanke dakika ya 15 na Georginio Wijnaldum dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Indiana's Fernando Mendoza goes viral for post game interview
-
Hoosiers QB was all gas and no brakes.
43 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment