Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akiifungia bao la kusawazisha timu yake dakika ya 24 ikitoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda 5-2 dhidi ya Benfica ya Ureno katika mchezo wa Kombe la Emirates leo. Walcott alifunga pia la pili dakika ya 32, wakati mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Lisandro Lopez aliyejifunga dakika ya 52 na Olivier Giroud dakika ya 74 na Alex Iwobi dakika ya 70 na mabao ya Benfica yamefungwa na Franco Cervi dakika ya 11 na Eduardo Salvio dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Iran's famed singer Googoosh recalls family, exile and life in the spotlight
-
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — For Googoosh, Iran's most-famous singer,
life always has been balancing act of one kind or another.
28 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment