• HABARI MPYA

    Friday, July 28, 2017

    ROONEY AKOSA BAO LA WAZI, EVERTON YASHINDA 1-0 TU ULAYA

    Wayne Rooney akikosa bao la wazi jana Uwanja wa Goodison Park Jijini Liverpool katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia Europa League dhidi ya Ruzomberok. Everton ilishinda 1-0, bao pekee la Leighton Baines dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AKOSA BAO LA WAZI, EVERTON YASHINDA 1-0 TU ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top