• HABARI MPYA

  Sunday, July 30, 2017

  LUKAKU, FELLAINI WAFUNGA MAN UNITED YAIPIGA 3-0 VALERENGA

  Marouane Fellaini akienda juu kuifungia bao la kwanza Manchester United dakika ya 44 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Valerenga Uwanja wa Ullevaal mjini Oslo, Norway. Mabao mengine ya United yamefungwa na Mbelgiji mwenzake, Romelu Lukaku dakika ya 47 na Scott McTominay dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU, FELLAINI WAFUNGA MAN UNITED YAIPIGA 3-0 VALERENGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top