• HABARI MPYA

  Saturday, July 15, 2017

  MDUDA ALIPOKABIDHIWA TUZO YAKE YA KIPA BORA COSAFA

  Kaimu Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kulia) akimkabidhi mchezaji wa timu ya taifa, Said Mohammed Mduda tuzo yake ya kuwa Kipa Bora wa michuano ya COSAFA iliyomalizika wiki iliyopita nchini Afrika Kusini. Mduda aliyekabidhiwa tuzo jana mjini Mwanza jana, alitajwa kipa bora wa michuano akiwa tayari amekwisharejea nyumbani baada ya kuisaidia Taifa Stars kushika nafasi ya tatu kwenye michuano hiyo
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MDUDA ALIPOKABIDHIWA TUZO YAKE YA KIPA BORA COSAFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top