• HABARI MPYA

  Thursday, July 27, 2017

  MAN CITY YAWAKUNG'UTA REAL MADRID 4-1 MAREKANI

  Kinda wa Manchester City, Brahim Diaz akiwa amezingirwa na wenzake kumpongeza baada ya kufunga bao la nne dakika ya 81 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya mabingwa wa Ulaya, Real Madrid Alfajiri ya leo Uwanja wa Los Angeles Memorial Coliseum mjini Los Angeles, California, Marekani katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. Mabao mengine ya timu ya kocha Pep Guardiola yamefungwa na Nicolas Otamendi dakika ya 52, Raheem Sterling dakika ya 59 na John Stones dakika ya 67, wakati la timu ya kocha Zinadine Zidane limefungwa na Oscar Rodriguez dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAWAKUNG'UTA REAL MADRID 4-1 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top