• HABARI MPYA

    Monday, July 31, 2017

    MALIMI BUSUNGU ASAJILIWA LIPULI YA IRINGA

    Mshambuliaji aliyeachwa Yanga SC kwa tuhuma za utovu wa nidhamu, Malimi Busungu akikabidhiwa jezi ya Lipuli ya Iringa iliyopanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na timu hiyo leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MALIMI BUSUNGU ASAJILIWA LIPULI YA IRINGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top