• HABARI MPYA

  Wednesday, July 26, 2017

  MBEYA CITY YASAJILI WENGINE WAWILI, MMOJA NI MSOMI WA TIA

  Mshambuliaji Anthony Mwingira aliyehitimu wa Shahada ya Uhasibu katika chuo cha TIA mjini Mbeya, akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Mbeya City jana mjini humo
  Kiungo Idd Suleiman aliyewahi kuchezea Ashanti United ya Dar es Salaam akisaini mkataba wa miaka kujiunga na Mbeya City mjini humo jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YASAJILI WENGINE WAWILI, MMOJA NI MSOMI WA TIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top