• HABARI MPYA

  Thursday, July 27, 2017

  MSUVA ALIVYOPAA JANA KWENDA KUKAMILISHA MIPANGO MOROCCO

  Winga wa Yanga, Simon Msuva ameposti picha hii kwenye Instagram akisema; "Kwaheri" wakati anaondoka Dar es Salaam jana Morocco kukamilisha mipango ya kujiunga na Difaa Hassan El Jadida ya Ligi Kuu nchini humo. Hiyo ndiyo timu ambayo imemsajili winga mwingine wa Tanzania, Ramadhani Singano 'Messi' kutoka Azam FC
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA ALIVYOPAA JANA KWENDA KUKAMILISHA MIPANGO MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top