• HABARI MPYA

    Sunday, July 30, 2017

    TITUS SIMBA ALIPOTWAA MEDALI YA FEDHA YA MADOLA SCOTLAND 1970

    Bondia wa Tanzania, Titus Simba (kulia) akipigana na John Conteh wa England katika Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 1970 nchini Scotland. Conteh alishinda na kutwaa Medali ya Dhahabu, huku Simba (sasa marehemu) akiondoka na Medali ya Fedha. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TITUS SIMBA ALIPOTWAA MEDALI YA FEDHA YA MADOLA SCOTLAND 1970 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top