• HABARI MPYA

  Saturday, July 15, 2017

  MAYWEATHER ARINGISHIA SAA YA DOLA MILIONI 1.4

  Bondia Floyd Mayweather akimuonyesha saa yenye thamani ya dola za Kimarekani Milioni 1.4 mpinzani wake, Conor McGregor usiku wa jana ukumbi wa SSE Arena, Wembley katika shoo ya nne ya promosheni ya pambano lao la Agosti 26, mwaka huu ukumbi wa T Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYWEATHER ARINGISHIA SAA YA DOLA MILIONI 1.4 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top