Nyota wa Tottenham Hotspur, Dele Alli akimtoka beki wa kulia wa Roma, Mbrazil, Bruno Peres katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Red Bull Arena mjini Harrison, New Jersey, Marekani. Roma imeshinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Diego Perotti dakika ya 13 kwa penalti, Cengiz Under dakika ya 70 na Marco Tumminello dakika ya 90 na ushei, wakati ya Spurs yamefungwa na Harry Winks dakika ya 87 Vincent Janssen dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Soccer Aid 2024: Alex Scott returns as host while Bobby Brazier and Tommy
Fury lead the stars lacing up their boots and taking to the pitch for
annual charity match
-
Soccer Aid for UNICEF 2024 has announced it's celebrity players ahead of
the annual charity match on Sunday 9th June at Stamford Bridge.
53 minutes ago
0 comments:
Post a Comment