• HABARI MPYA

  Sunday, July 16, 2017

  RASHFORD APIGA MBILI, MAN UNITED YAANZA NA USHINDI WA 5-2 MAREKANI

  Marcus Rashford akimtungua kipa wa LA Galaxy, Jon Kempin kufunga moja ya mabao yake mawili ya dakika za pili na 20 katika ushindi wa 5-2 asubuhi hii Uwanja wa Stubhub Center, mjini Carson, California, Marekani katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya. Mabao mengine ya United yamefungwa na Marouane Fellaini dakika ya 26, Henrikh Mkhitaryan dakika ya 67 na Anthony Martial  dakika ya 72, wakati ya wenyeji yamefungwa na Giovani dos Santos dakika ya 79 na David Romney dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASHFORD APIGA MBILI, MAN UNITED YAANZA NA USHINDI WA 5-2 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top