Mshambuliaji mpya aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 75 Manchester United, Romelu Lukaku (kulia) akimpongeza mchezaji mwenzake mpya, Henrikh Mkhitaryan (kushoto) baada ya kufunga bao la nne katika ushindi wa 5-2 dhidi ya LA Galaxy asubuhi hii Uwanja wa Stubhub Center mjini Carson, California, Marekani. Lukaku alitokea benchi katika mechi hiyo ya kwanza kuichezea Man United kwenda kuchukua nafasi ya Marcus Rashford dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Democrats call for Trump to fire homeland security secretary over Minnesota
crackdown
-
House Minority Leader Hakeem Jeffries warns "we can do this the easy way or
the hard way", as Trump's 'border tsar' arrives in Minneapolis.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment