• HABARI MPYA

    Sunday, July 16, 2017

    EUBANK AMSHINDA KWA POINTI ABRAHAM UWANJA WA WEMBLEY

    Bondia Chris Eubank Jnr (kushoto) akikwepa ngumu ya Arthur Abraham huku akimchapa konde kwa mkono mwingine mpinzani wake huyo jana katika Uwanja wa Wembley mjini London katika pambano la ubingwa wa IBO uzito wa Middle. Eubank alishinda kwa pointi na kuondoka na mkanda wa IBO PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EUBANK AMSHINDA KWA POINTI ABRAHAM UWANJA WA WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top