• HABARI MPYA

  Sunday, July 16, 2017

  WILLIAN APIGA HAT TRICK CHELSEA YAIBANDIKA 8-2 FULHAM

  Willian (katikati) akishangilia baada ya kufunga mabao matatu katika ushindi wa Chelsea wa 8-2 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu Uwanja wa Cobham usiku wa leo. Mabao mengine ya mabingwa hao wa England yamefungwa na Michy Batshuayi mawili sawa na Remy, huku Azpilicueta akifunga moja na kujifunga moja, huku bao bao lingine la Fulham akifunga Johansen PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WILLIAN APIGA HAT TRICK CHELSEA YAIBANDIKA 8-2 FULHAM Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top