Wachezaji wa England wakishangilia na taji lao la ubingwa wa Ulaya kwa vijana chini ya umri wa miaka 19, baada ya kuifunga Ureno katika fainali jana Uwanja wa Tengiz Burjanadze mjini Gori, Georgia. Simba Wadogo walianza kufungaa dakika ya 50 kupitia kwa Easah Suliman, kabla ya Dujon Sterling kujifunga dakika ya 56 kuwapa Ureno bao la kusawazisha na Lukas Nmecha kufunga la ushindi dakika ya 68 katika mchezo ambao kiungo Tayo Edun alionyeshwa kadi ya pili ya njano na kutolewa kwa kadi nyekundu zikiwa zimebaki dakika nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jon Gruden 'turns down Jets coaching job' as fans joke he 'knows a sinking
ship when he sees one'
-
The former Raiders and Buccaneers head coach has been out of the NFL since
resigning in Las Vegas when his years-old racist and homophobic emails
surfaced.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment