• HABARI MPYA

  Saturday, July 15, 2017

  ARSENAL YAENDELEZA UBABE MECHI ZA KUJIANDAA NA MSIMU

  Kiungo wa kimataifa wa Misri, Mohamed Elneny akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 44 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Western Sydney Wanderers Uwanja wa ANZ mjini Sydney. Mabao mengine ya Washika Bunduki hao wa London, yamefungwa na Olivier Giroud dakika ya 33 na Aaron Ramsey dakika ya 37, wakati la wenyeji limefungwa na Steven Lustica dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAENDELEZA UBABE MECHI ZA KUJIANDAA NA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top