Kiungo Mbrazil, Douglas Luiz (kushoto) akisaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na Manchester City kutoka Vasco Da Gama ya kwao kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 10.7, siku moja tu baada ya klabu hiyo kumsajili beki wa Tottenham Hotspur, Muingereza Kyle Walker kwa dau la Pauni Milioni 54 miaka mitano pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
‘It’s the newest form of victimisation’: Paris Hilton joins the fight
against AI deepfakes
-
Socialite and hotel heiress Paris Hilton joined US congresswoman Alexandria
Ocasio-Cortez to advocate for legal protections for victims of AI deepfake
porn...
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment