• HABARI MPYA

  Saturday, August 20, 2016

  WANYAMA AIPIGA BAO PEKEE SPURS YAILAZA 1-0 CRYSTAL PALACE

  Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee klabu yake mpya, Tottenham Hotspur katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Crystal Palace Uwanja wa White Hart Lane leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WANYAMA AIPIGA BAO PEKEE SPURS YAILAZA 1-0 CRYSTAL PALACE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top