• HABARI MPYA

  Saturday, August 20, 2016

  LIVERPOOL YACHARAZWA 2-0 ENGLAND KAMA WAMESIMAMA

  Sam Vokes akifumua shuti kuifungia Burnley bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Liverpool Uwanja wa Turf Moor kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao la pili lilifungwa na Andre Gray dakika ya 37 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YACHARAZWA 2-0 ENGLAND KAMA WAMESIMAMA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top