• HABARI MPYA

  Saturday, August 20, 2016

  CHELSEA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ENGLAND, YAILIPUA WATFORD 2-1

  Mfungaji wa bao la ushindi la Chelsea, Diego Costa (kulia) akifurahia na wenzake bao hilo la dakika ya 87 dhidi ya wenyeji Watford Uwanja wa Vicarage Road. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Michy Batshuayi dakika ya 80, baada ya Etienne Capoue kutangulia kuwafungia wenyeji dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ENGLAND, YAILIPUA WATFORD 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top