• HABARI MPYA

  Sunday, August 07, 2016

  TALIB HILAL MOJA KWA MOJA KUTOKA OMAN HADI YOMBO KUMJULIA HALI CHAMA

  Beki wa zamani wa Simba, Talib Hilal (kushoto) akiwa na beki wa zamani wa Yanga, Athumani Juma Chama 'Jogoo' alipomtembelea nyumbani kwake, Yombo, Dar es Salaam kumjulia hali. Talib anayeishi Muscat, Oman alimtembelea C hama ambaye ni mgonjwa kwa sasa na alisaidiwa matibabu na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TALIB HILAL MOJA KWA MOJA KUTOKA OMAN HADI YOMBO KUMJULIA HALI CHAMA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top