Kiungo mpya wa Arsenal, Granit Xhaka akimgeuza Pablo Zabaleta wa Manchester City katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya usiku huu Uwanja wa Nya Ullevi mjini Goteborg, Sweden. Arsenal imeshinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Alex Iwobi dakika ya 50, Theo Walcott dakika ya 73 na Chuba Akpom dakika ya 86, wakati ya Man City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya 30 na Kelechi Iheanacho dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bill Belichick misses out on Hall of Fame as eight-time Super Bowl winner
is 'baffled' by shocking decision
-
Bill Belichick will not be first-ballot Hall of Famer despite winning eight
Super Bowl titles, including six as head coach of the New England Patriots
and ...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment