• HABARI MPYA

  Sunday, August 21, 2016

  SIMBA SC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Simba, Frederick Blagnon akiruka juu kuifungia timu yake bao la pili kwa kichwa katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimtoka beki wa Ndanda FC, Paul Ngaalema 
  Beki wa Ndanda FC, Bakari Mtama akiutelezea mpira miguuni mwa kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto 
   Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin akipambana na mchezaji wa Ndanda FC, Omary Mponda
  Mshambuliaji mtaalamu wa Simba SC, Ibrahim Hajib (kushoto) akimtoka beki wa Ndanda FC, Forahim Isihaka
  Kiungo wa Simba, Jamal Mnyate akivuta kasi ya kumpita kiungo wa Ndanda FC, Kiggi Makassy 
  Beki wa Ndanda FC, Salvatory Ntebe akinyoosha mguu kuondosha mpira miguuni mwa winga wa Simba, Shizza Kichuya 
  Beki wa Ndanda, Aziz Sibo akipanda na mpira dhidi ya mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo
  Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana
  Kikosi cha Ndanda FC kilichoanza jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top