• HABARI MPYA

    Sunday, August 21, 2016

    BINTI WA BURUNDI ANG'ARA OLIMPIKI YA RIO, ATWAA MEDALI YA FEDHA MITA 800

    Kutoka kushoto; Margaret Wambui wa Kenya, Maryna Arzamasava wa Belarus, Francine Niyonsaba wa Burundi na Caster Semenya wa Afrika Kusini wakimalizia mbio za mita 800 wanawake Olimpiki ya Rio 2016. Semenya aliyetumia muda wa 1:55.28 alishinda Medali ya Dhahabu, Niyonsaba aliyetumia  1:56.49 alishinda Fedha na Wambui aliyetumia 1:56.89 alishinda Shaba PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BINTI WA BURUNDI ANG'ARA OLIMPIKI YA RIO, ATWAA MEDALI YA FEDHA MITA 800 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top