• HABARI MPYA

  Sunday, August 21, 2016

  MKANGWA NA SABEBE WALIKUWA PACHA HATARI TIMU YA VIJANA

  Washambuliaji wa timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes, Abubakar Mkangwa (kushoto) na Abdallah Saleh Sabebe (kulia) wakipambana kwenye lango la vijana wenzao wa Ghana katika mchezo wa kufuzu Fainali za Afrika uliofanyika mwaka 1998 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru, Dar es Salaam). 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKANGWA NA SABEBE WALIKUWA PACHA HATARI TIMU YA VIJANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top