• HABARI MPYA

    Tuesday, August 09, 2016

    SIMBA SC NA AFC LEOPARD KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa AFC Leopard ya Kenya katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 4-0 mchezo huo uliohitimisha kilele cha sherehe za miaka 80 ya kuzaliwa kwake, maarufu kama Simba Day
    Mshambuliaji Ibrahim Hajib (kushoto) akimhadaa beki wa Leopard 
    Kiungo Mussa Ndusha akinyoosha mguu kuuzuzia mpira usimfikie mchezaji wa Leopad
    Winga wa Simba SC, Shizza Kichuya akimtoka beki wa Leopard 
    Mussa Ndusha akimgeuza mchezaji wa Leopard
    Janier Beseala Bokungu akijivuta kupiga mpira wa adhabu
    Beki Mohamed Hussein 'Tshabalala' akitoa pasi dhidi ya mchezaji wa Leopard
    Mshambuliaji Frederick Blagnon akimtoka beki wa Leopard
     Vikosi vikiingia uwanjani kwa ajili ya mechi ya jana
    Benchi la Ufundi la Simba kutoka kushoto Kocha Mkuu, Joseph Omog, Msaidizi Jackson Mayanja, Meneja Abbas Hussein na kocha wa makipa, Adam Abdallah
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA AFC LEOPARD KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top