• HABARI MPYA

  Monday, August 08, 2016

  NIGERIA WATINGA ROBO FAINALI OLIMPIKI YA RIO 2016

  TIMU ya Nigeria imefuzu Robo Fainali ya Michezo ya Olimpiki upande wa soka inayoendelea mjini Rio, Braizil baada ya kuifunga 1-0 Sweden katika mechi ya Kundi B.
  Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, Sadiq Umar aliyetupia mpira nyavuni kwa kichwa Uwanja wa Amazonia Arena mjini Manaus.
  Jumatano Nigeria itacheza mechi ya mwisho ya kundi lake dhidi ya Colombia mjini Sao Paulo, wakati Sweden itacheza mechi ya lazima washinde dhidi ya Japan mjini Salvador kama wanataka kwenda Robo Fainali.
  Nahodha wa Nigeria, John Obi mikel akipasua katikati ya wachezajinwa Sweden 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NIGERIA WATINGA ROBO FAINALI OLIMPIKI YA RIO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top