• HABARI MPYA

  Wednesday, August 10, 2016

  MUCHACHO GROUP WALIOIFANYA SIMBA IIMBWE KIDEDEA NCHI NZIMA

  Washangiliaji wa kikundi cha Muchacho Group, maarufu kama Wana Kidedea wakiteremka kwenye Bandari ndogo ya Dar es Salaam kwenda kupanda boti mwaka 1992 kwa safari ya Zanzibar kuishangilia Simba SC kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati. Simba ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano hiyo kwa kuwafunga mahasimu, Yanga kwenye fainali kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUCHACHO GROUP WALIOIFANYA SIMBA IIMBWE KIDEDEA NCHI NZIMA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top