MMILIKI MPYA MTARAJIWA WA SIMBA SC ALIVYOJIACHIA NA KIPENSI LEO TAIFA
Bilionea Mohamed 'Mo' Dewji akiwapungia mkono mashabiki wa Simba SC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya mchezo wa kirafiki dhidi ya AFC Leopard ya Kenya jioni ya leo. Simba ilishinda 4-0 mchezo huo uliohitimisha sherehe za miaka 80 ya klabu, maarufu kama Simba Day
Rais wa Simba SC, Ecans Aveva (kulia) akiwa meza kuu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
Wadau wakubwa wa Simba, Kassim Dewji (kulia) na Crescentius Magori (kushoto)
Waziri wa zamani wa Michezo, Profesa Juma Kapuya (kushoto) alikuwepo pia kuisapoti timu yake, Simba SC
Kutoka kulia Iddi Kajuna, Salum Muchacho na Magori
Mo Dewji akizungumza na beki wa zamani wa Simba SC, Talib Hilal (kushoto)
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tuliy (kulia) na Salim Abdallah (kushoto)
Mzee Kilomoni na Dalali pia walikuwepo pia leo Uwanja wa Taifa
Kama kawaida Nima katika siti yake ya siku zote alikuwepo Taifa leo
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Zacharia Hans Poppe naye alikuwepo Taifa leo
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment