• HABARI MPYA

  Saturday, August 20, 2016

  SUAREZ APIGA HAT TRICK, MESSI MAWILI BARCA YAUA 6-2 LA LIGA

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (kulia) na Luis Suarez (kushoto) wakishangilia baada ya kila mmoja kufunga katika ushindi wa 6-2 dhidi ya Real Betis Uwanja wa Camp Nou leo kwenye mchezo wa La Liga. Messi alifunga mabao mawili dakika za 37 na 57, wakati Suarez alifunga matatu dakika za 42, 57 na 82, bao lingine la Barca likifungwa na Arda Turan dakika ya sita, huku mabao ya Real Betis yakifungwa na 
  Ruben Castro dakika ya 21 na 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ APIGA HAT TRICK, MESSI MAWILI BARCA YAUA 6-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top