• HABARI MPYA

  Thursday, August 11, 2016

  BRAZIL YAIFUMUA 4-0 DENMARK NA KUTINGA ROBO FAINALI OLIMPIKI

  Mfungaji wa mabao mawili ya Brazil, Gabriel Barbosa katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Denmark kwenye mchezo wa Kundi A Olimpiki soka Rio 2016, akimrukia Nahodha wake, Neymar baada ya kufunga bao la kwanza usiku wa kuamkia leo mjini Salvador. Mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Gabriel Jesus na Luan na sasa wenyeji hao watamenyana na Colombia katika Robo Fainali, wakati Denmark itakutana na Nigeria PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRAZIL YAIFUMUA 4-0 DENMARK NA KUTINGA ROBO FAINALI OLIMPIKI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top