• HABARI MPYA

    Thursday, August 11, 2016

    AZAM NA YANGA VETERANI KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Kiungo wa Yanga Veterani, Ally Yussuf 'Tigana' (kushoto) akigombea mpira na mchezaji wa Azam Veterani jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam katika mchezo wa Nusu Fainali wa Kombe la Azam Fresco. Yanga ilishinda 2-1 na sasa itakutana na Mbagala Kuu katika fainali, ambayo imeitoa TFF Kuu 
    Mfungaji wa mabao yote mawili ya Yanga jana, Gulla Joshua akimtoka mchezaji wa Azam 
    Beki wa Yanga, Willy Mtendamema (kushoto) akimdhibiti mchezaji wa Azam
    Mabeki, Bakari Malima wa Yanga (kulia) na Ramadhani Wasso wa Azam wakiwania mpira wa juu
    Beki Eustace Bajwala (kulia) akimshuhudia mchezaji mwenzake, Aziz Hunter akipatiwa huduma ya kwanza uwanjani baada ya kuumia
    Kiungo wa Yanga, Thabit Badru Bushako katikati ya wachezaji wa Azam
    Mshambuliaji wa Yanga, Mohammed Hussein 'MMachinga' akimtoka mchezaji wa Azam
    Nahodbha wa  Azam, Abdulkarim Amin 'Popat' alijitahidi kuopambana jana lakini wapi
    Kikosi cha kwanza cha Yanga jana
    Kikosi cha Azam jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM NA YANGA VETERANI KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top