• HABARI MPYA

    Monday, January 11, 2016

    YANGA SC NA URA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN

    Beki wa URA, Jimmy Kulaba (kulia) akigombea mpira na mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma (kushoto) katika mchezo wa Nusu Fainali, Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar jana. URA ilishinda kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 90
    Beki wa Yanga SC, Juma Abdul (kushoto) akigombes mpira na beki wa URA, Allan Munaaba
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimiliki mpira mbele ya beki wa URA, Jimmy Kulaba
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe akimtoka beki wa URA, Sam Senkoom
    Winga wa Yanga SC, Deus Kaseke akimtoka mchezaji wa URA jana
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akitafuta maarifa ya kumpita beki wa URA, Sam Senkoom

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA URA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top